Januari 2014
Mpendwa rafiki,
Matumaini yetu kuona mko katika Afya njema na katika kufurahia kuanza mwaka mpya.
Tumekuandikia taarifa ya mipango yetu na malengo tuliyo ya weka kwa miaka minne ijayo hapa
Tanzania. Ingawaje kwanza tunakupa tarifa kutoka kwa...
More
Januari 2014
Mpendwa rafiki,
Matumaini yetu kuona mko katika Afya njema na katika kufurahia kuanza mwaka mpya.
Tumekuandikia taarifa ya mipango yetu na malengo tuliyo ya weka kwa miaka minne ijayo hapa
Tanzania. Ingawaje kwanza tunakupa tarifa kutoka kwa rafiki zetu wa huko Afrika ya kati.
Baadhi yenu wameshakua wanafuatilia habari za huko Jamuhuri ya Afrika ya kati sasa halingumu
waliyo nayo. Kufuatia mwaka uliopita kuanguka kwa serikari.Kuzuka kwa makundi makundi
kupigana na watu wasio nahatia.
Ingawaje watu wanaonyesha hawakati tamaa kataka kupigania uhuru wao na amani. Timu ya ATD
Bangui bado inanendelea kuona watu wanakwenda kuwatembelea kutokea koti yadi. Georges na
Grace kutoka Mbongosou kisiwani. Wana ushujaa wa kutumia chombo kitwacho kanoe kuvuka
ng'ambo ya mto ili kuwatembelea timu tu juu ya safari yao Grace alikuwa ana haya yakusema:
“Mambo yote yanayotokea katika nchi yetu, Hatuko mbali na ATD Dunia ya Nnne kwanini? Kwa
sabababu kama tunataka kuishi kwa amani tunahitaji ku
Less